Nimejifunza siri ya kuridhika katika kila hali, wakati wa kushiba na wakati wa kuona njaa, wakati wa kuwa na vingi na wakati wa kupungukiwa. 12 4:12 1Kor 4:11 2Kor 11:9 Ninajua kupungukiwa, pia ninajua kuwa na vingi. 11 4:11 1Tim 6:6, 8 Ebr 13:5 Sisemi hivyo kwa vile nina mahitaji, la! Kwa maana nimejifunza kuridhika katika hali yoyote. Kweli mmekuwa mkinifikiria lakini mlikuwa hamjapata nafasi ya kufanya hivyo. Naye Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.ġ0 4:10 2Kor 11:9 Nina furaha kubwa katika Bwana kwamba hatimaye mmeanza upya kushughulika tena na maisha yangu. 9 4:9 1Kor 4:16 Rum 12:17 Mambo yote mliyojifunza au kuyapokea au kuyasikia kutoka kwangu, au kuyaona kwangu, yatendeni hayo. 7 4:7 Isa 26:3 Yn 14:27 Efe 3:19 Nayo amani ya Mungu, inayopita fahamu zote, itailinda mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.Ĩ 4:8 1The 5:22 Rum 12:17 Hatimaye, ndugu zangu, mambo yote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo na sifa njema, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote ya kupendeza, yoyote yenye staha, ukiwepo uzuri wowote, pakiwepo chochote kinachostahili kusifiwa, tafakarini mambo hayo. 6 4:6 Mt 6:25-34 Kol 4:2 1Pet 5:7 Za 145:18 Efe 6:18 1Tim 2:1 Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. 3 4:3 Flp 2:25 Ufu 20:12 Naam, nakusihi wewe pia, mwenzangu mwaminifu, uwasaidie hawa wanawake, kwa sababu walijitaabisha katika kazi ya Injili pamoja nami bega kwa bega, wakiwa pamoja na Klementi na watendakazi wenzangu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima.Ĥ 4:4 Za 85:6 97:12 Hab 3:18 Mt 5:12 Rum 12:12 Flp 3:1 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! 5 4:5 Za 119:151 145:18 Ebr 10:37 Yak 5:8, 9 Upole wenu na ujulikane na watu wote. Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu)ġ 4:1 Flp 1:8 1Kor 16:13 Kwa hiyo, ndugu zangu, ninaowapenda na ambao ninawaonea shauku, ninyi mlio furaha yangu na taji yangu, hivi ndivyo iwapasavyo kusimama imara katika Bwana, ninyi wapenzi wangu.Ģ 4:2 Flp 2:2 3:16 Nawasihi Euodia na Sintike wawe na nia moja katika Bwana. 日本語 | Japanese Contemporary Bible (JCB). ![]() ![]()
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |